Newala FM

FAHAMU KUHUSU SHIMOLA MUNGU SUPER CUP SEASON 2

FAHAMU KUHUSU SHIMOLA MUNGU SUPER CUP SEASON 2

Ni msimu mwingine wa mashindano ya Shimo la mungu Super Cup Season 2 yaliyoandaliwa na Newala Fm Radio ambayo yatafanyika katika uwanja wa Shule ya msingi Butiama maarufu kama Butiama Arena.

Haya ni mashindano yatakayoshirikisha timu 32 na kucheza kwa mfumo wa mtoano.

 

ZAWADI 

  • Bingwa Tsh Million 3, Kombe na Medali 23
  • Mshindi wa pili Tsh Million 2 na Medali 23
  • Mshindi Wa Tatu Tsh Laki 5
  • Mshindi Wanne Tsh Laki 5